Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, February 22, 2015

RATIBA LIGI KUU LEO JUMAPILI MBEYA CITY vs YANGA SC, STAND UNITED vs SIMBA, AZAM FC NAYO RUVU SHOOTING


Azam FC itakuwa mgeni wa Ruvu Shootings katika uwanja wa Mabatini wakijaribu kuongeza tofauti ya pointi na Yanga ili kuendelea kushika usukani wa ‪#‎VPL‬. Itaweza kuondoka na ushindi dhidi ya timu iliyokamia kutofungwa nyumbani?

No comments:

Post a Comment