Asubuhi
mapema yalianza Matembezi ya hiari na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh.
Fabian Massawe alijumuika Matembezi hayo na kisha baadae kuendelea na
Bonanza la kuhamasisha Michezo MKOA WA KAGERA kwenye Uwanja wa Kaitaba
ambalo limeandaliwa na Bukoba Veteran.Bonanza kubwa kufanyika hapa Kagera mwezi wa 12 ambapo litashirikisha Mikoa mbalimbali kama Arusha, Mwanza, Dodoma Morogoro..nk Ambao watakaoshiriki Bonanza hilo ni
zile Timu za Veteran katika Mikoa hiyo husikka itakayopewa nafasi ya
kuharikwa Mkoani Kagera. Vijana wa Bukoba Veteran wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Kaitaba. kwenye Bonanza la kuhamasisha Michezo Mkoani Kagera.Michezo
mablimbali imefanyika katika Bonanza hilo ikiwemo Mchezo wa kuvuta
Kamba, kukimbiza kuku, Mpira wa miguu ambao Uwamezikutanisha Timu za
Veteran kutoka Wilaya mbalimbali za hapa Kagera. Timu za mpira wa Miguu
kutoka Muleba Veteran, Bukoba Veteran, Kagera Sugar Veteran, Kamachumu
Veteran na Timu ya Uhuru sport Club
No comments:
Post a Comment