Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, February 15, 2017

DIAMOND ARIPOTI POLISI LEO

 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz leo ameripoti polisi na kulipa faini kwa kosa la kuweka mtandanoni video inayoonesha akiendesha gari huku akiwa hajafunga mkanda.
"Leo nilireport kituo kikuu cha polisi wa usalama barabarani kutokana na Vidoe Clip tuliyopost naendesha gari barabarani bila kufunga mkanda na pia kuachia usukani na kucheza.... Nikapewa Onyo na Kulipa faini kulingana ya Mujibu wa sheria... tafadhali watanzania na Vijana wenzangu... tuhakikishe tunafunga mikanda pindi tupandapo na tuendeshapo Magari Maana ni Hatari kwa Maisha yetu na inaweza kukupeleka kunyea debe pia...🙏" alisema Diamond