Bondia Gervas Regasiano akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya kumtwanga Antony Edowa |
Na Mwandishi Wetu
MCHEZO wa mwisho kwa ajili ya
kuhamasisha ngumi unatarajia kufanyika siku ya alhamisi ya january 23
katika viwanja vya wazi vya Zakhem mbagala Dar es salaam mapambano hayo
ya ngumi yenye lengo la kuhamasisha tuzo za PSPF Tanzania Boxing Awards
ambazo zinafikia tamati january 25 kwa washindi kupatiwa tuzo hizo
zitakazofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
akizungumza na waandishi wa habari makamu wa rais wa shirikisho la ngumi za ridhaa nchini Lukelo-Anderson
Willilo amesema utoaji wa tuzo hizo zitaongozwa na burudani mbali mbali
na mapambano ya masumbwi ya mabondia wa ridhaa na kulipwa ambao
wataoneshana uwezo siku hiyo alitaja burudani zitakazokuwepo siku hiyo
kuwa na FM Academia, Malkia wa Mipasho Khadija Kopa, Excel one band,tom
ongala, na kantona mgogo wa mazizi ndio burudani zitakazo tolewa kwa iku
hiyo na mgeni rasmi
hatakuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fennela
Mukangara ambaye atakukuwa akishudia kwa mara ya kwanza kabisa tuzo hizo zinazoshirikisha mabondia mbalimbali
na namna ya kupiga kula kuchagua
bondia bora wa mwaka 2013,2014 unandia NGUMI (ACHA NAFASI) andika namba
ya mshiriki iliyoorodheshwa kwenye jina lake,kisha tuma kwenda namba
15573 kwa mfano ngumi 49 kwenda 15573 itakugalimu t sh 150b kwa kila
SMS na unakumbushwa kupiga kula zaidi kadri yuwezavyo kufanikisha
mwakilishi wako ananyakuwa tuzo hiyo
No comments:
Post a Comment