CHELSEA wakicheza leo huko
Kuala Lumpur, Malaysia wameipiga Kombaini ya Malaysia Bao 4-1.
Hadi
Mapumziko Chelsea walikuwa mbele kwa Bao 3-0.
Katika Kipindi cha Pili, Chelsea waliingia na Timu mpya kasoro Van Ginkel na Hazard na kuongeza Bao moja lakini na Malaysia wakafunga Goli lao pekee na Mechi kwisha Bao 4-1.
Hii ni Mechi ya pili kwa Chelsea huko Asia na ya kwanza walicheza huko Bangkok, Thailand na kuifunga Singha All-Stars Bao 1-0.
Chelsea watasafiri kwenda Indonesia ambako Alhamisi Julai 25 watacheza na BNI Indonesia All-Stars Mjini Jakarta ikiwa ni Mechi yao ya mwisho Bara la Asia.
Jose akiteta na wachezaji

Branislav Ivanovic leo ndiye aliyeonekana muda mwingi na
hapa alikuwa na mchezaji Idlan Talahawakigombea mpira kwa kichwa.

Branislav Ivanovic akijaribu kumkinga mchezaji Amri
Yahyah wa Malaysia hasipite!

Romelu Lukaku akiruka juu kumpita mchezaji wa Malaysia
Azizi Matt Rose
Hupiti hapa!!

Kipa mpya Mark Schwarzerakisaidiwa na John Terry kwenye
eneo la Hatari 

Jose Mourinho kama kawaida na hapa alikuwa akiangalia
patashika kwenye mtanange wake na timu ya Malaysia jioni ya leo
Kipa mpya wa Chelsea leo
tulia kwanza!! hapa...
Malaysia wakishangilia bao lao hapa

Mashabiki wakimkaribisha kocha mpya wa Chelsea kwenye
uwanja wa Shah Alamleo hii jioni

No comments:
Post a Comment