Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, May 17, 2013

RAFAEL BENITEZ KUCHUKUA NAFASI YA DAVID MOYES - EVERTON


Mzee Rafa Benitez
Kocha wa muda wa Chelsea anayetegemea kuachia ngazi Darajani inasemekana wenda asipate muda wa kukaa kutafuta kibarua baada kusemekana anaweza kupewa nafasi pale Everton baada ya kocha wao kuchukuliwa kwenda Manchester United.
Benitez ambaye juzi alisimamia timu ya Chelsea kuchukua ushindi wa Europa huko Amsterdam Arena kwa kuifunga Benifica bao 2-1.
Pia uwezekano wa kumchukua Roberto Mancini aliyetimuliwa Manchester City na Roberto Martinez wa Wigan wenda wasipate nafasi hiyo.

No comments:

Post a Comment