Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, December 12, 2015

MOVIE KALI ZA BONGO ZILIZOINGIA KWENYE TUZO ZA AMVCA 2016, LULU NAYE NDANI.

Ni kitu kizuri sana kukuta sanaa ya Tanzania inatoboa na kugusa vichwa vya habari nje ya mipaka ya Tanzania, kama vile ambavyo tumeona Tunzo kadhaa za muziki zikiletwa nyumbani na mastaa wetu kutoka nje ya mipaka.

Hii listi ya mastaa ambao wamefanikiwa kuwa sehemu ya walioingia kwenye category za Africa Magic Viewers’ Choice Awards (AMVCAs).

Kwenye list ya Watanzania wako na hawa:
1: Staford Kihore (Movie ya Mpango Mbaya)
2: Josephat Lukaza (Movie ya Kitendawili)
3: Elizabeth Michael ‘Lulu’ (Movie ya Mapenzi ya MUNGU)
4: Amil Shivji (Movie ya Samaki Mchangani)
TUZO
List ya washiriki wote hii hapa mtu wangu, na Watanzania wetu wote ndani.
NOMINEES II NOMINEES III NOMINEES IV NOMINEES IX NOMINEES V NOMINEES VI NOMINEES VII NOMINEES VIII NOMINEES X NOMINEES XI NOMINEES XII NOMINEES XIII NOMINEES XIV NOMINEES XV
Unaweza kuingia kwenye link hii kwa ajili ya kupiga kura  amvca2016