Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, February 12, 2013

MIELEKA YAFUTWA KWENYE MASHINDANO YA OLMPIKI 2020


Mchezo wa mieleka umefutwa katika orodha ya michezo ya Olimpiki kuanzia 2020.Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki imechukua hatua hiyo ili kutoa nafasi kwa mchezo mpya kuingizwa. Kamisheni ya Mipango ya Kamati hiyo  ilipitia ufanisi wa kila mchezo ulioshiriki ‘London Games’ kabla ya kutoa maamuzi.Uamuzi wa kuwa sasa ni mchezo upi utaongezwa wakati wa 2020, utafanyika wakati Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki itakapokutana Buenos Aires mwezi Septemba.

No comments:

Post a Comment