SHIRIKISHO la soka barani
Afrika (CAF) limetangaza majina 30 yawachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora
wa Afrika huku mtanzania Mbwana Samatta anayecheza KRC Genk ya Ubelgiji akiwa
mmoja wapo.
Licha ya tuzo hiyo CAF pia imewataja wachezaji 30 wanaowania
tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wanaocheza ligi za ndani.
Pamoja na Samatta,
wachezaji wengine walioingia kwenye 30 bora ni;
1. Ali Maaloul (Tunisia & Al Ahly)
2. Bertrand Traore (Burkina Faso & Lyon)
3. Cedric Bakambu (DR Congo & Villareal)
4. Christian Atsu (Ghana & Newcastle)
5. Christian Bassogog (Cameroon & Henan Jianye)
6. Denis Onyango (Uganda & Mamelodi Sundowns)
7. Eric Bailly (Cote d’Ivoire & Manchester United)
8. Essam El Hadary (Egypt & Al Taawoun)
9. Fabrice Ondoa (Cameroon & Sevilla)
10. Fackson Kapumbu (Zambia & Zesco)
11. Jean Michel Seri (Cote d’Ivoire & Nice)
12. Junior Kabananga (DR Congo & Astana)
13. Karim El Ahmadi (Morocco & Feyenoord)
14. Keita Balde (Senegal & Monaco)
15. Khalid Boutaib (Morocco & Yeni Malatyaspor)
16. Mbwana Samata (Tanzania & Genk)
17. Michael Olunga (Kenya & Girona)
18. Mohamed Salah (Egypt & Liverpool)
19. Moussa Marega (Mali & Porto)
20. Naby Keita (Guinea & RB Leipzig)
21. Percy Tau (South Africa & Mamelodi Sundowns)
22. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
23. Sadio Mane (Senegal & Liverpool)
24. Thomas Partey (Ghana & Atletico Madrid)
25. Victor Moses (Nigeria & Chelsea)
26. Vincent Aboubakar (Cameroon & Porto)
27. William Troost-Ekong (Nigeria & Bursaspor)
28. Yacine Brahimi (Algeria & Porto)
29. Youssef Msakni (Tunisia & Al Duhail)
30. Yves Bissouma (Mali & Lille)
No comments:
Post a Comment