TANZANIA YASALIA 135 VIWANGO VYA UBORA FIFA
FIFA LISTI UBORA DUNIANI: HAMNA MABADILIKO MAKUBWA, BRAZIL BADO 1, TANZANIA PALEPALE 135
Mwezi uliopita, Brazil
ilikamata nambari moja Duniani na Tanzania kuchomoka kutoka nafasi ya
157 iliyoshikilia mwezi Machi na kupanda nafasi 22 juu.
nayo Brazil ilirejea kileleni kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 6 kwa kuitoa Argentina namba 1.
Argentina sasa bado wapo namba 2.
Egypt ndiyo timu ya juu kabisa kwa Afrika ikishika nafasi ya 19.
Listi nyingine ya ubora Duniani itatoka Juni 1.
20 BORA:
Post a Comment