Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa
kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye
uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mafunzo na Utendaji Kivita Meja Jenerali Issa Nassor akihutubia wanamichezo wa kijeshi kwenye sherehe za ufunguzi wa mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi Meja jenerali Simoni Mumwi akihutubia wakati wa ufunguzi wa mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia picha yake aliopewa na kikundi cha sanaa wakati wa kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga penati ikiwa ishara ya kufungua mashindano ya tatu ya kombe la Mkuu wa Majeshi (CDF Cup - 2016) kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment