Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, March 3, 2016

ADAM LALLANA, JAMES MILNER NA FIRMINO WALIPIZA KISASI EPL KWA MAN CITY

Kipindi cha pili Roberto Firmino aliwapiga bao la tatu dakika ya 57 na kufanya 3-0 dhidi ya City
MBELE YA MASHABIKI 43597 Liverpool inaongoza bao 2-0 dhidi ya Timu ya Man City.
Liverpool bao zake zikifungwa na Adam Lallana 34 na lile la kabla ya mapumziko la James Milner 41

VIKOSI:
Manchester City TEAM NEWS
Manchester City (4-2-3-1):
Hart, Zabaleta, Clichy, Kompany, Otamendi, Fernando, Fernandinho, Navas, Silva, Sterling, Aguero
AKIBA: Caballero, Sagna, Demichelis, Kolarov, Bony, Iheanacho, Mangala 


Liverpool TEAM NEWS
Liverpool (4-4-2):
Mignolet, Clyne, Toure, Lovren, Flanagan, Henderson, Can, Milner, Lallana, Firmino, Origi
AKIBA: Ward, Skrtel, Moreno, Allen, Ibe, Coutinho, Benteke


No comments:

Post a Comment