Mabingwa Watetezi Barcelona watavaana na Arsenal wakati Paris Saint-Germain wakikutana na Chelsea hukuJuventus wakicheza na Bayern Munich.
Mechi nyingine za mvuto ni ile ya AS Roma na Real Madrid huku Dynamo Kyiv wakikutana na Manchester City.
Raundi hii itachezwa Februari 16-17 na 23-24 huku Marudiano ni Machi 8-9 na 15-16.
Washindi watasonga Robo Fainali.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Ghent v Wolfsburg
AS Roma v Real Madrid
Paris Saint-Germain v Chelsea
Arsenal v Barcelona
Juventus v Bayern Munich
PSV Eindhoven v Atletico Madrid
Benfica v Zenit St Petersburg
Dynamo Kyiv v Manchester City
Mechi kuchezwa 16-17 na 23-24 February huku Marudiano ni Machi 8-9 na 15-16.
TAREHE MUHIMU:
Raundi za Mtoano:
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy
No comments:
Post a Comment