Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, August 7, 2015

UEFA CHAMPIONS LEAGUE DROO YAPANGWA MAN UNITED KUCHEZA NA .........


Mpinzani wa Manchester United atakuwa ni mmoja kati ya Club Brugge, CSKA Moscow, Lazio, Monaco au Rapid Vienna kwenye Raundi ya Mwisho ya Mchujo kuingia Makundi ya UEFA CHAMPIONS LIGI.
Droo ya Raundi hii ambayo itachezwa Agosti 18 na 19 na Marudiano ni Agosti 25 na 26 itafanyika Kesho Ijumaa kwenye Makao Makuu ya UEFA huko Nyon, Uswisi kuanzia Saa 7 Mchana.
Kwenye Droo hiyo, Man United, ambao wanaanzia hatua hii, wapo Chungu Namba 1 na watapambanishwa na Timu 1 kutoka Chungu Namba 2.

Droo kamili ya kuweka Mechi za Raundi ya Mwisho ya Mchujo inahusisha jumla ya Timu 20 ambazo zimewekwa Mafungu Mawili.FUNGU LA MAN UNITED [Njia ya Ligi]
POT NAMBA 1: Bayer Leverkusen, Manchester United, Shakhtar Donetsk, Sporting Lisbon, Valencia.
POT  NAMBA 2: Club Brugge, CSKA Moscow, Lazio, Monaco, Rapid Vienna.
FUNGU LA PILI [Njia ya Mabingwa wa Ligi zao]
POT  NAMBA 1: FC Basel 1893, Celtic FC (SCO), APOEL FC (CYP), FC BATE Borisov (BLR), GNK Dinamo Zagreb (CRO)
POT NAMBA 2: Maccabi Tel-Aviv FC (ISR), FK Partizan (SRB), Malmö FF (SWE), KF Skënderbeu (ALB), FC Astana (KAZ)



NON-CHAMPIONS ROUTE:
Non-champions route: Ties to be played Aug. 18-19 and Aug. 25-26:

CHAMPIONS ROUTE:
Champions route: Ties to be played Aug. 18-19 and Aug. 25-26:

The 10 winners advance to the 32-team group-stage draw on Aug. 27 in Monaco.

No comments:

Post a Comment