PedroAdnan
Januzaj Ataenda kwa mkopo kwenye Klabu ya Sunderland kuuzoea uwanja wa
Stadium of Light kucheza msimu ujao wa 2015/2016 baada ya Man United
kumpata Pedro kutoka Klabu ya Barcelona.
Hapo hapo habari za chini kwa Chini Man
United pia wanamfukuzia mchezaji wa Spurs Harry Kane kumvuta kwao Old
Trafford ili aanze nao kwenye msimu wa 2015/2016.
Sunderland wamsajili Yann M’Vila kwa mkopo
No comments:
Post a Comment