Rais Jakaya Mrisho kikwete pozi na
mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika
Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es
salaam leo Agosti 6, 2015. Azam ambao pia ni mabingwa wa soka wa
Tanzania Bara walishinda kombe hilo katika michuano ya Shirikisho la
soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati yaani CECAFA hivi karibuni
No comments:
Post a Comment