Mchezaji
wa Arsenal Alexis Sanchez alipokuwa kwenye mazoezi kwenye Uwanja wao wa
London Colney kujiandaa na Msimu mpya wa EPL unaotarajia kuanza
kutimua vumbi jumamosi 8, 2015. Alexis Sanchez mwenye umri wa miaka 26
alipewa likizo ndefu baada ya kumalizika mashindano ya Copa America na
alikosa Ziara nzima ya Arsenal na ikiwemo ile mechi ya ufunguzi dhidi
yao Chelsea kwenye Kombe la ngao ya Jamii. Leo hii amejifua vilivyo
kujiandaa na msimu ujao mpya. Habari kutoka kwenye Website yao
inasemekana wenda hasiusike kwenye kikosi ambacho kitaandaliwa na Meneja
wao Arsene Wenger jumapili kitakachoanza kuuonja msimu huo mpya wa
2015/2016. Lakini inasemekana itajulikana baadae wiki hii.Alexis Sanchez kwenye mazoezi hii leoKiu au? Alexis Sanchez alipumzika kidogo wakati wa mazoeziAlexis Sanchez na mpiraAlexis SanchezLeo kwenye Uwanja wa London ColneyAkifanya mazoezi ya nguvu
No comments:
Post a Comment