WEST HAM UNITED YASAKA MENEJA MPYA BAADA YA SAM ALLARDYCE KUONDOKA
Allardyce,
maarufu kama Big Sam, alijiunga na West Ham 2011 wakati Timu hiyo iko
Daraja la chini la Championship na kuirudisha Ligi Kuu England na Msimu
huu walianza vizuri tu lakini mwishoni walififia na kumaliza Nafasi ya
12. Wenyeviti wenza wa West Ham, David Sullivan na David Gold, wametoa shukran zao kwa Allardyce na pia kutamka kuwa wanayo Listi ya Watu wanaofaa kushika wadhifa huo wa Meneja.
Akiongea mara baada ya Mechi hiyo, Big Sam alisema uamuzi huu ni bora kwa kila upande.
Post a Comment