Bao
la Danniel Sturridge la dakika ya 24 baada ya kupewa krosi safi na Luis
Suarez. Kipindi Cha pili Dakika ya 67 Kolo Touré amepata pasi kutoka
kwa Mignolet na bila kuangalia akatoa pasi vibaya na hatimae mpira
akaupata Victor Anichebe na kufunga bao.
Mpaka sasa bao ni 1-1. Mpira
umemalizika kwa sare ya bao 1-1, sare hii ikiwabakisha Liverpool katika
nafasi hiyo hiyo ya nne wakiwa na alama 47. Huku WBA wakijikongoja na
kupanda juu nafasi moja kutoka kwenye nafasi ya 17.
Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers

Daniel Sturridge akishangilia bao lake huku wachezaji beki wa WBA wakilaumu kwa kusema ni bao la offside.

Daniel Sturridge alimtafuta mwenzake Suarez wakapongezana

Nini tena nyanyuka...!

Kipa
wa West Brom Ben Foster akidaka mpira kwenye patashika ndani ya box
huku mchezaji wa Liverpool Kolo Toure akiwa amemyemelea

Mchezaji wa West Brom Jonas Olsson aliumia muda mchache kabla refa ajapuliza kipenga kwenda mapumziko.

Steven Gerrard alikabwa vibaya na Calaudio Yacob, akajitupa chini...
Asante Kolo! Victor Anichebe akitupia na kufanya 1-1...
Kolo (kulia) akipagawa baada ya bao kusawazishwa!!!

Suarez hoi!!!! mwangalie na Martin Skrtel akipumua!!!

Raheem Sterling akimkaba Liam Ridgewell

Steven Gerrard kwenye patashika na Matej Vydra

Hakika ilikuwa ni balaa
Post a Comment