
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi ya timu ya baseball ya Chicago
Cubs toka kwa mmiliki wa timu hiyo na Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia
elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe Ricketts
wakati alipomtembelea Ikulu Jumapili Januari 27, 2014.

Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea akipokea moja ya Tabuleti 61 kwa
ajili ya wanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Wama Nakayama
iliyoko kijijini Nyamisati, Rufiji, Mkoa wa Pwani toka kwa Mwenyekiti wa
taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa
Marekani Bw. Joe Ricketts wakati alipotembelea Ikulu Jumapili Januari
27, 2014.

Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma
Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Dkt Shukuru
Kawambwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya WAMA Nakayama Dkt Ramadhani Dau
na Mkuu wa Shule hiyo wakipokea moja ya Tabuleti 61 alizozitoa kwa
ajili ya wanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Wama Nakayama
iliyoko kijijini Nyamisati, Rufiji, Mkoa wa Pwani leo Januari 27, 2014
toka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity
Education Foundation wa Marekani Bw. Joe Ricketts akikabidhi moja ya
Tabuleti 61 alizozitoa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha pili katika
Shule hiyo.

Mwenyekiti
wa taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete, Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Dkt Shukuru Kawambwa, Mwenyekiti wa
Bodi ya Shule ya WAMA Nakayama Dkt Ramadhani Dau na Mkuu wa Shule hiyo
wakiangalaia matumizi ya ya Tabuleti 61 katika darasa la kidato cha
pili katika Shule ya Wama Nakayama iliyoko kijijini Nyamisati, Rufiji,
Mkoa wa Pwani leo Januari 27, 2014 toka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya
kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe
Ricketts akikabidhi moja ya Tabuleti 61 alizozitoa kwa ajili ya
wanafunzi wa kidato cha pili katika Shule hiyo.
Picha na Ikulu.
Post a Comment