LIVERPOOL YAIFUNGA EVERTON 4-0, DANIEL STURRIDGE AFUNGA BAO MBILI, GERRARD NA SUAREZ WAKITUPIA NA KUWAUA WATANI WAO WA JADI
Hadi Mapumziko, Liverpool walikuwa mbele 3-0 kwa Mabao ya Gerrard, Sturridge, Bao 2, na Suarez kupiga la 4 Kipindi cha Pili.
Mapema waamuzi na timu kapteni wakisalimiana kabla ya kipute kuanza
Makocha wote wawili, Liverpool na Everton
Majanga Hapa! uondoaji kichwa!
Patashika!
Steven Gerrard akitupia
Raha za kufunga bao Steven Gerrard akichomoka kwa mbio kwenda mbele ya mashabiki kushangilia
Gerrard akishangilia bao lake baada ya kufunga watani wao Everton katika uwanja wao wa Amfield
Liwalo na liwe Gerard akishangilia mbele ya mashabiki wa Liverpool
Danniel Sturridge akifunga bao lake la kwanza hapa na kufanya 2-0
Hakunaga: Angalia shangilia yao hawa watu wawili
Sisi ndi sisi....tunataka tucheze UEFA mwaka ujao...tupishe!
Luis Suarez akiwamaliza Everton
Uhhhhhh!! Luis Suarez akishangilia bao lake la nne na kufanya 4-0.
Luis Suarez baada ya kuwafunga watani wao wa jadi uwanja wote kelele!!!
Daniel Sturridge na Gerrard 
Post a Comment