JOSE MOURINHO AWAKUBALI WEST HAM UNITED, WAMETUCHEZEA STAILI MPYA NA YA KARNE YA 19.
MENEJA
wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho ameponda aina ya uchezaji wa timu ya
West Ham United na kudai kuwa ni wa karne ya 19 kufuatia timu yake
kutoa sare ya bila ya kufungana katika Uwanja wa Stamford Bridge.
Chelsea walifanya kila wanaloweza kuhakikisha wanapenya ngome ya West
Ham wanaonolewa na Sam Allardyce lakini walishindwa na kujikuta
wakigaana alama hivy kushindwa kuwafikia Arsenal ambao wameshuka mpaka
nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu nchini Uingereza.
Post a Comment