FRANCIS MIYEYUSHO KUWAPA RAHA WATANZANIA LEO?
| Bondia Joshua Amukulu (kushoto) kutoka Kenya akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa Msasani klabu |
| Bondia Kalama Nyilawila kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Maokola baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa Msasani klabu |
| Bondia Fransic Miyeyusho akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake Joshua Amukulu kutoka Kenya utakaofanyika leo katika ukumbi wa Msasani klabu |
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA MKENYA JOSHUA AMULU UTAKAOFANYIKA DESEMBA 31 KATIKA UKUMBI WA MSASANI KLABU |
| Bondia Ibrahimu Class 'king Class Mawe' kushoto akitunishiana
misuli na Mustafa Dotto baada ya kupima uzito kwa ajili ya
mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa
Msasani klabu |
Post a Comment