TWANGA PEPETA KUWASHA MOTO LINAS CLUB BUKOBA JUMAPILI
Chezea Twanga Pepeta wewe..!
Kama unataka kuimba nasi njoo Linas Club Bukoba ujionee makamuzi yetu ..tutawasha nyimbo mpya

Na Faustine Ruta, BukobaNEEMA za burudani ya muziki wa dansi sasa inaelekea Bukoba wikiendi hii ambapo bendi ya The African Stars -Twanga Pepeta itawasha moto ndani ya viwanja vya Linas Club Bukoba jumapili hii tarehe3.11.2013 kuanzia saa 3 kamili usiku hadi majogoo...
Chini ya udhamini wa New Coffee Tree Hotel ikishirikiana na Jockers Live Pub, Coca Cola na Serengeti
Kiingilio kitakuwa kwa VIP ni 15,000/= na kawaida ni Tsh:10,000/=
Baadhi ya wadada wanenguaji wa Twanga Pepeta Internationally kwenye pozi na kamera
One love ...pamoja Linas Jumapili
Patakuwa hapatoshi Jumapili hii

Post a Comment