LIGI KUU: MATUKIO KATIKA PICHA "MBEYA DERBY" MBEYA CITY VS PRISONS( source Mbeya yetu blog)
Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli la Kwanza

Sehemu ya mashabiki jukwaa la Urusi
Mpira umekwishaaa Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashukuru mashabiki wao baada ya kuwasapoti kwa ushindi na polisi wakifanya kazi yao kwa mbali.
Wachezaji wa Mbeya City fc wakiwa wanashangilia Ushindi




Kikosi cha Mbeya City Fc wakiwa wanasali kabla ya Mechi kuanza

Kikosi cha Tanzania Prisons wakiwa katika picha ya pamoja.

Hili Ni Benchi la Timu ya Mbeya City Fc Likiongozwa na Kocha mkuu wa Timu hiyo Juma Mwambusi

Benchi la Tanzania Prisons

Waamuzi wakiongozwa na Izrael Nkongo wakiwa wanaamua timu ipi iianze mlango gani

Mashibiki wakiwa wanaingia uwanjani






Mashabiki wakiwa wanashangilia mechi

Wadau mbalimbali na mashabiki wakifuatilia mpira kwa umakini

Waandishi wa Habari wakifuatilia Mechi.
Post a Comment