Neymar akishangilia baada ya kuipa bao Barca bao la kwanza
Kocha mkuu wa Real Carlo Ancelotti akitoa maelekezo kwa wachezaji wake
Gareth Bale akiteta jambo na Cristiano Ronaldo baada ya kufungwa bao la kwanza
Neymar akiziona nyavu za Real Madrid
Mchezaji wa Real Madrid defender Raphael Varane akijaribu kuuzuia mpira mbele ya Neymar mapema kipindi cha kwanza
Neymar akipongezwa na Lionel Messi
Mashabiki wakiishangilia timu yao Barcelona
Alexis Sanchez akimfunga kipa Diego Lopez na kuipa ushindi wa bao la pili Barcelona
Hakunaga!!!
Tata Martino na Carlo Ancelotti leo kwenye patashika ya 'El Clasico'
Ronaldo akimkimbiza Lionel Messi
BARCELONA: Valdés, Alves, Piqué, Mascherano, Adriano, Sergio Busquets, Xavi, Iniesta (Song 77), Fàbregas (Alexis 70), Messi, Neymar (Pedro 84)
Subs not used: Pinto, Montoya, Puyol, Sergi Roberto
Booked: Adriano, Busquets
Scorers: Neymar 19, Alexis 78
REAL MADRID: Diego López, Carvajal, Varane, Pepe, Marcelo, Ramos (Illarramendi 56), Modric, Khedira, Di Maria (Jese 76), Ronaldo, Bale (Benzema 61)
Subs not used: Casillas, Coentrão, Arbeloa, Isco
Booked: Bale, Ramos, Khedira, Marcelo
Scorer: Jese 90
No comments:
Post a Comment