Manchester United wakiwakaribisha Norwich City kwenye uwanja wao wa Old traffod kucheza Raundi ya nne ya CAPITAL ONE CUP, Dakika ya 20 Hernandez Chichirito anaipatia bao United kwa mkwaju wa Penati na kufanya 1-0 dhidi ya Norwich City. Mpaka timu zinaenda mapumziko United ndio walikuwa wanaongoza kwa bao hilo moja la mkwaju wa penati. Kipindi cha pili dakika 53 Chicharito akawaongezea bao jingine kwa kichwa baada ya kutupia kwa kichwa na kipa kutema na kuumalizia tena nyavuni. Dakika ya 88 kona iliyoanzishwa kwa kupeana pasi kati ya Januzaj na Young ikazaa bao baada ya Phil Jones kupata mpira huo na kuachia shuti kali na kuingia moja kwa moja kwenye lango la Norwich na magoli kuwa 3-0.Kama kawa: Mchezaji wa Manchester United Javier Hernandezakishangilia baada ya kufunga bao dakika ya 20 kwa mkwaju wa penati.
Mchezaji wa Adnan Januzaj wa Manchester Unitedakichuana na Leroy Fer
Fabio alieingia dakika za lala salama kwa nafasi ya Januzaj nae akafanikiwa kufunga bao la nne dakika za nyongeza za 90+5 na kufanya mabao kuwa 4-0 dhidi ya Norwich City.
RATIBA/MATOKEO
Jumanne Oktoba 29
Arsenal 0 v Chelsea 2
Birmingham 3 v Stoke 3
Burnley 0 v West Ham 2
Leicester 4 v Fulham 3
Manchester United 4 v Norwich 0
KESHO JUMATANO.
Jumatano Oktoba 30
Newcastle v Man City
Tottenham v Hull
Jumatano Novemba 6
Sunderland v Southampton
Zaha akichuana na Bradley Johnsonwa
Zaha alikuwepo kuendesha na yeye kipute!!
Kocha wa Manchester United David Moyes akisalimiana na mascot Fred the Red muda mfupi kabla ya mtanange kuanza.
Nathan Redmond na Phil Jones wakiwania mpira kipindi cha pili
Mchezaji wa Adnan Januzaj wa Manchester Unitedakichuana na Leroy Fer
Mchezaji Bradley Johnsonwa Norwich akiteta vikali na refa Kevin Friend baada ya kusema ni penati
Alexander Buttner akitupwa chini na Steven Whittaker wa Norwich City
Robert Snodgrass aliumia na kulazimika kutoka nje baada ya kugongana vichwa na Rafael
RATIBA/MATOKEO
Jumanne Oktoba 29
Arsenal 0 v Chelsea 2
Birmingham 3 v Stoke 3
Burnley 0 v West Ham 2
Leicester 4 v Fulham 3
Manchester United 4 v Norwich 0
KESHO JUMATANO.
Jumatano Oktoba 30
Newcastle v Man City
Tottenham v Hull
Jumatano Novemba 6
Sunderland v Southampton
No comments:
Post a Comment