Arsenal wakiwakaribisha Chelsea kwenye uwanja wao Emirates kucheza Raundi ya nne ya CAPITAL ONE CUP, Mchezaji wa Chelsea César Azpilicueta dakika ya 25 amewafunga Arsenal baada ya mabeki kufanya makosa na hatimaye Azpilicueta kufatilia mpira huo na kumfunga kipa Lukasz Fabianski. Kipindi cha pili dakika ya 66 Juan Mata akaiongezea bao timu yake Chelsea na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Arsenal.
Mguu kwa mguu, Mchezaji wa Chelsea Michael Essien kwenye patashika na Nicklas Bendtner katika kipindi cha kwanza. Cesar Azpilicueta akitupia nyavuni.Cesar Azpilicueta akishangilia baada ya kuipa bao na kuitanguliza Chelsea kwa bao hilo moja katika dakika ya 25 kipindi cha kwanza.Cesar Azpilicueta (katikati) akipongezwa na Willian pamoja na Kevin De Bruyne (kulia)
Cesar Azpilicueta kulia akipeta na kushangilia baada ya kuimaliza Gunners kwenye uwanja wao Emirates.
VIKOSI:
Arsenal: Fabianski, Jenkinson, Monreal, Ramsey, Koscielny, Vermaelen, Miyaichi (Ozil 63), Wilshere, Bendtner (Giroud 67), Rosicky, Cazorla
Subs not used: Sagna, Viviano, Park, Hayden, Yennaris
Chelsea: Schwarzer, Azpilicueta, Bertrand, Mikel, Cahill, David Luiz, De Bruyne (Ramires 69), Essien, Eto'o, Mata, Willian
Subs not used: Ivanovic, Torres, Hazard, Ba, Kalas, Blackman
Booked: Mikel, Essien
Goals: Azpilicueta 25, Mata 66
Referee: Phil Dowd
RATIBA/MATOKEO
Jumanne Oktoba 29
Arsenal 0 v Chelsea 2
Birmingham 3 v Stoke 3
Burnley 0 v West Ham 2
Leicester 4 v Fulham 3
Manchester United 4 v Norwich 0
KESHO JUMATANO.
Jumatano Oktoba 30
Newcastle v Man City
Tottenham v Hull
Jumatano Novemba 6
Sunderland v Southampton
Kocha Arsene Wenger na kocha Jose Mourinho wa Chelsea wakisalimiana muda mfupi kabla ya kipute!
Cesar Azpilicueta kulia akipeta na kushangilia baada ya kuimaliza Gunners kwenye uwanja wao Emirates.
Mesut Ozil, Aaron Ramsey na Laurent Koscielny hoi!!!!!! baada ya mbili kavu!!
Tomas Rosicky (kulia) wakigombania mpira na John Obi Mikel
Nicklas Bendtner akijipinda mbele ya Olivier Giroud
Samuel Eto'o kwenye patashika na Thomas Vermaelen
Mata akiwaadhibu Arsenal baada ya kutupia bao la pili na mtanange kumalizika kwa 2-0 Emirates.
Arsenal: Fabianski, Jenkinson, Monreal, Ramsey, Koscielny, Vermaelen, Miyaichi (Ozil 63), Wilshere, Bendtner (Giroud 67), Rosicky, Cazorla
Subs not used: Sagna, Viviano, Park, Hayden, Yennaris
Chelsea: Schwarzer, Azpilicueta, Bertrand, Mikel, Cahill, David Luiz, De Bruyne (Ramires 69), Essien, Eto'o, Mata, Willian
Subs not used: Ivanovic, Torres, Hazard, Ba, Kalas, Blackman
Booked: Mikel, Essien
Goals: Azpilicueta 25, Mata 66
Referee: Phil Dowd
RATIBA/MATOKEO
Jumanne Oktoba 29
Arsenal 0 v Chelsea 2
Birmingham 3 v Stoke 3
Burnley 0 v West Ham 2
Leicester 4 v Fulham 3
Manchester United 4 v Norwich 0
KESHO JUMATANO.
Jumatano Oktoba 30
Newcastle v Man City
Tottenham v Hull
Jumatano Novemba 6
Sunderland v Southampton
No comments:
Post a Comment