
Msanii
wa filamu nchini Wema Sepetu akimtunza mama yake Kanumba Flora Mtegoa
a.k.a. Mama mkwe wake mara baada ya mama huyu kumfwata msanii huyo
wakati alipokuwa akicheza muziki uliokuwa ukitumbuizwa na Machozi Bendi
katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa
filamu ya Foolish Age iliyoandaliwa na msanii mwenzao Elizabety Michael
'Lulu'

Wema
Sepetu akimfuta machozi mama yake Kanumba, Flora alijikuta akishindwa
kuzuia hisia zake baada ya kutunza kiasi cha fedha cha kutosha kabisa
kwa matumizi hata ya wiki nzima na mwanadada huyo

Wema akionyesha heshima kwa kumpigia magoti mwanamama huyo ambaye alishawahi kuwa mkwe wake kipindi hicho
No comments:
Post a Comment