Bayern Munich Buys Thiago Alcantara From
BarcelonaHatimaye Bayern Munich
imeshinda vita ya kupambana kumpata kumpata msshambuliaji Thiago
Alcantara.
Mabingwa hao wa Ulaya wamemwaga kitita cha pauni milioni 22 kumnasa kinda huyo wa Barcelona aliyekuwa anawaniwa kwa udi na uvumba na mabingwa wa England, Manchester United.
Biashara hiyo ya Thiago imekamilika leo ikiwa ni pamoja na timu hizo kuingia mkataba wa kucheza mechi za kirafiki. Thiago Alcantara akishangilia

No comments:
Post a Comment