Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, July 15, 2013

ARSENAL YAIFUNGA INDONESIA XI MABAO 7- 0, STAR OLIVIER GIROUD AKITUPIA MBILI NYAVUNI!!!!!


Olivier Giroud akifunga bao mbili mwenyewe dakika ya 70 na 74

Gedion Zelalem akitimua mbio kipindi cha pili

Wachezaji wa Gunners wakipongezana baada ya kufunga bao

Mchezaji aliyetokea nje Lukas Podolski dakika ya 68 kipindi cha pili kwenye patashika hapa

Podolski akipigania kuwania mpira
Giroud akifunga bao dakika ya 74
Arsenal wakibeba bango la kuwashukuru mashabiki wao leo kwenye mcheza wa kirafiki

VIKOSI:
Arsenal: Fabianski (Martinez 68); Jenkinson (Sagna 68), Miquel, Mertesacker (Koscielny 46), Gibbs; Arteta (Zelalem 46), Ramsey (Rosicky 68), Oxlade-Chamberlain (Olsson 46); Gnabry (Podolski 68), Akpom (Giroud 68), Walcott (Eisfeld 46). Subs not used: Szczesny, Wilshere, Aneke, Ryo
Goals: Walcott 19, Akpom 54, Giroud 70, 74, Podolski 83, Olsson 85, Eisfeld 87
Indonesia XI: Meiga; Sanadi, Igbonefo, Solossa, Maitimo; Van Dijk, Kabes, Wanggai, Jufrianto; Roby, Kipuw. Subs: Syukur, Salampessy, Sucipto, Wahyu, Wirawan, Mofu, Pae, Ripora, Bonay, Mokodompit, Pellu, Rahadhan

No comments:

Post a Comment