Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, July 9, 2013

MARIO GOMEZ WA BAYERN MUNICH KUJIUNGA NA FIORENTINA

Mshambuliaji wa Bayern Munich Mario Gomez anatazamiwa kuihama klabu yake ambao ndio mabingwa wa Ulaya na kujiunga na Fiorentina.

Ada ya uhamishom wake haijawekwa wazi kwa ajili ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 27 lakini taarifa za pembeni zinaeleza kuwa klabu hiyo ya Italia italiapa pauni milioni £17.2.

Mtendaji mkuu wa Bayern Karl-Heinz Rummenigge ameuambia mtandao wa klabu hiyo ya Ujerumani"Ni Mario Gomez mwenyewe aliyetaka kuihama Bayern Munich na kujiunga na Fiorentina,".

Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani alikuwa msaada mkubwa kwa klabu yake katika kushinda taji la Ulaya la vilabu , kushinda ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga pamoja na German Cup ndani ya msimu mmoja.

Bayern Munich ilikataa ofa mbalimbali ikiwemo ofa ya vilabu  kama Chelsea na Liverpool katika dirisha la usajili la mwezi januari mwaka 2011.

But he only started nine Bundesliga games during the campaign, and came on as a last-minute substitute in Bayern's 2-1 win over Borussia Dortmund in the Champions League final at Wembley on 25 May.

No comments:

Post a Comment