Mabingwa wa Ligi kuu England Man United leo huko Japan wamefungwa Bao 3-2 toka kwa Yokohama F-Marinos katika Mechi iliyochezwa Uwanja wa Kimataifa wa Yokohama. Bao za Yokohama F-Marinos zimefungwa dakika ya kwanza na chezaji Marquinhos bao la pili dakika ya 50 na Fabio, huku Fujita akimalizia bao dakika ya 88 dakika za lala salama. Kwa United waliofunga ni Lingard dakika ya 19 na bao la pili wamejifunga wao wenyewe kupitia mchezaji wao Tashiro katika dakika ya 31
Hiki ni kipigo cha pili
kwa Man United katika Ziara yao huko Asia ambako walianza kwa kufungwa Bao 1-0
huko Bangkok, Thailand na Singha All-Stars Wiki iliyopita kisha Jumamosi
iliyopita wakashinda Bao 5-1 huko Sydney, Australia walipoichapa A-League All
Stars.Mechi inayofuata kwa Man
United ni Ijumaa Julai 26 huko Osaka watakapocheza na Cerezo Osaka, Klabu ambayo
Mchezaji wa Man United Shinji Kagawa alikoanzia Soka.Robin Van Persie akichota
mpira kutoka kwa mchezaji wa Yokohama leo mchana wakati Manchester United
ikicheza na Yokohama F Marinos huko Japan kwenye uwanja wa Taifa. Manchester
United imefungwa bao 3-2Kwenye patashika za hapa na pale
Danny Welbeckna manjonjo yake hapa!Mashabiki mayoso wa United wakitoa mchango wao
MANCHESTER UNITED: De Gea; Fabio, Jones, Evans (Smalling), Evra; Anderson, Cleverley, Zaha (Giggs); Lingard (Ashley Young), Januzaj (Kagawa); Van Persie (Welbeck)
Goals: Lingard 19, Tashiro (OG) 31
Booking: Cleverley
YOKOHAMA: Enomoto, Dutra, Aguiar, Tashiro, Kobayahsi, Nakamura, Hyodo, Tomisawa, Nakamachi, Marquinhos, Sato.
Goals: Marquinhos 1, Fabio 50, Fujita 88
Shinji Kagawa akionesha kiwango kwenye nchi yao Japan
huku Mashabiki wakimkubali zaidi wakati anacheza uwanjani leo hii wengi wa
mashabiki walikuwa wanashangilia wakati Kagawa anaingia kipindi cha pili.Wilfried Zaha akijaribu ..kama kawaida yake!!
Danny Welbeckna manjonjo yake hapa!Mashabiki mayoso wa United wakitoa mchango wao
Kule Japan star Kagawaanasifika sana ..angalia mashabiki
wanavyomuunga mkono!!
Japan kwenye soka sauti zao ni Kagawa tu!!
VIKOSI:
YOKOHAMA 3 vs MAN UNITED
2MANCHESTER UNITED: De Gea; Fabio, Jones, Evans (Smalling), Evra; Anderson, Cleverley, Zaha (Giggs); Lingard (Ashley Young), Januzaj (Kagawa); Van Persie (Welbeck)
Goals: Lingard 19, Tashiro (OG) 31
Booking: Cleverley
YOKOHAMA: Enomoto, Dutra, Aguiar, Tashiro, Kobayahsi, Nakamura, Hyodo, Tomisawa, Nakamachi, Marquinhos, Sato.
Goals: Marquinhos 1, Fabio 50, Fujita 88
No comments:
Post a Comment