Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, August 8, 2015

MANCHESTER UNITED YATOA NAMBA ZA JEZI ZA KWACHEZAJI WAKE, DEPAY APEWA NO. 7

Manchester United wametangaza Namba za Jezi kwa Wachezaji wao kwa ajili ya Msimu mpya huku Kipa Victor Valdez akiwa hana Namba na Namba 2, 3 na 9 zikiwa hazikupewa Mtu.
Ile Namba maarufu, Namba 7 ambayo imewahi kuvaliwa na Malejendari wakubwa Klabuni hapo wakiwemo George Best, Bryan Robson, Eric Cantona na David Beckham, ambayo Msimu uliopita aliivaa Angel Di Maria sasa ataivaa Mchezaji mpya Memphis Depay.
Bastian Schweinsteiger amepewa Namba 31 aliyoitumia Klabu yake ya zamani Bayern Munic na ambayo alikuwa akiitumia Marouane Fellaini ambae sasa amepewa Namba 27 wakati Luke Shaw, aliekuwa Namba 3, amehamia Namba 27.
Jezi Namba 2, 3 na 9 hazikupewa Mtu na inaaminika ni za wapya watakaoingia hivi karibuni.
MAN UNITED: NAMBA ZA KILA MCHEZAJI

No comments:

Post a Comment