Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 18, 2013

CHELSEA YAIFUNGA SINGHA ALL-STARS BAO 1-0, MKWAJU WA PENATI WA LUKAKU WAIPA USHINDI BLUES, NI MECHI YA KWANZA NA JOSE MOURINHO


Match winner: Romelu Lukaku settled the game in Chelsea's favour from the penalty spot (below) as they beat the Singha all-Stars 1-0 in Bangkok Timu ya Chelsea wakicheza Mechi yao ya kwanza chini ya Meneja wao mpya Jose Mourinho, leo wameifunga Singha All Stars Bao 1-0 huko Mjini Bangkok Nchini Thailand.
Match winner: Romelu Lukaku settled the game in Chelsea's favour from the penalty spot (below) as they beat the Singha all-Stars 1-0 in Bangkok
Lukaku akichonga penati ambayo imewapa ushindi Chelsea chini ya kocha wao Jose

Jose Mourinho

Mourinhoakiangalia wachezaji wake uwanjani
Back in the game: Mourinho said after the match that Wayne Rooney is a definite Chelsea transfer target
Jumamosi iliyopita, Singha All Stars iliifunga Man United Bao 1-0.
Katika Mechi ya leo, Bao la ushindi kwa Chelsea lilifungwa na Lukaku kwa Penati ya Dakika ya 34 iliyotolewa baada ya Kaimbi kumchezea faulo Wallace.
Chelsea sasa wanasafiri kwenda huko Kula Lumpur, Malaysia ambako Jumapili Julai 21 watacheza na Kombaini ya Malaysia.
Timu ya Chelsea wakicheza Mechi yao ya kwanza chini ya Meneja wao mpya Jose Mourinho, leo wameifunga Singha All Stars Bao 1-0 huko Mjini Bangkok Nchini Thailand.

Ramires na Cleiton Silva wakiruka juu kugombea mpira

John Terry kwenye patashika uwanjani
VIKOSI:
SINGHA ALL-STARS: Kristsana Klanklin, Nattaporn Punrit, Apichet Puttan, Bukasa Kasonga, Lazarus Kaimbi, Rangsan Viwatchaichok, Korakod Wiriya-Udomsiri, Jetsada Puanakunmee, Sho Shimoji, Cleiton Silva, Goran Subara.
Akiba: Narit Taweekul, Thanongsak Panpipat, Thitipan Puangchan, Phuritad Jarikanon, Hussain Al Hussain, Chanathip Songkrasin, Tanaboon Kesarat, Apipoo Suntornpanavej, Teerasak Po-on, Romain Gasmi.
CHELSEA: Cech; Wallace, Kalas, Terry, Cole; Lampard, Essien; Piazon, De Bruyne, Schurrle; Lukaku.
Akiba: Blackman; Ivanovic, Cahill, Chalobah, Bertrand; Ramires, van Ginkel; De Bruyne, Hazard, Moses; Ba.

CHELSEA-ZIARA:
May 24 Manchester City (Busch Stadium, St Louis)=KIPIGO 3-4
May 25 Manchester City (Yankee Stadium, New York)=KIPIGO 3-5
Julai 17 Singha All-Stars (Rajamangala Stadium, Bangkok)=USHINDI 1-0
Julai 21 Malaysia XI (Kuala Lumpur - BNI Cup 2013) SAA 10:45 JIONI
Julai 25 BNI Indonesia All-Stars (Gelora Bung Karno National Stadium, Jakarta) SAA 10 JIONI
Agosti 2 Inter Milan (Lucas Oil Stadium, Indianapolis - Guinness International Champions Cup) SAA 9 USIKU

No comments:

Post a Comment