LEO Manchester City ikicheza na timu ya Supersport ya
Africa kusini imefungwa bao 2-0 bila majibu huku timu hiyo inayoongozwa na kocha
mpya Pellegrini imefungwa bila nyota wao kadhaa ambao bado wapo mapumzikoni
mpaka sasa ambao ni David Silva, Sergio Aguero, Pablo Zabaleta na aliyesajiliwa
hivi karibuni Jesus Navas
Matija Nastasic akiangalia mpira ukiishilia nyavuni baada ya Mame Niang kutupia nyavuni
Hata mchezaji wao mpya Fernandinho ameshindwa kuonesha makeke
Scott Sinclair akicheza uwanjani leo hii
Matija Nastasic akiangalia mpira ukiishilia nyavuni baada ya Mame Niang kutupia nyavuni
Hata mchezaji wao mpya Fernandinho ameshindwa kuonesha makeke
Scott Sinclair akicheza uwanjani leo hii
No comments:
Post a Comment