Baada ya kunusurika katika mikono mikali ya sheria
nchini Japan, Msanii wa muziki Iryn Namubiru hatimaye kwa njia ya mtandao
amesema na mashabiki na watu wote ambao wamekuwa nyuma yake wakati wa tatizo
lililompata ambapo ametoa shukrani kwa sapoti na pia kukanusha kuongea na chombo
chochote cha habari juu ya ishu hii nzima. Kufuatia taarifa mbalimbali kuendelea
kusemwa kuhusiana na tukio hili, Iryn amesema kuwa atatoa maelezo kamili wakati
ukifika, na kidogo alichosema kuhusiana na hili ni kuwa, katika tukio hili
hakufunguliwa mashtaka rasmi na hakufikishwa mbele ya Jaji.
Welcome to the Jungle: Arusha’s Wildest Afternoon
-
Most safari guides tell you to head straight to the Serengeti. But if you
want a wild, unfiltered, face-to-face encounter with Africa’s finest in
jus...
NI SIMBA QUEENS MABINGWA LIGI YA WANAWAKE TZ BARA
-
TIMU ya Simba Queens imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya
Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Mashujaa
Queens jion...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Post a Comment