Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, April 11, 2013

BAYERN MUNICH YAFUZU NUSU FAINALI BAADA YA KUIFUNGA JUVENTUS 2-0, UEFA CHAMPIONS LEAGUE


Huko Mjini Turin, Italy, Mabingwa wa Italy, Juventus wameshindwa kujitetea kipigo cha awali cha Bao 2-0 walichopewa na Mabingwa wapya wa Germany, Bayern Munich, Na hatimaye wameongezewa na wababe hao wa Ujerumani kwa kipigo cha aibu cha nyumbani kwao na kushindwa kusonga. Bao za Bayern zimepatikana kipindi cha pili dakika ya 64 mchezaji Mario Mandzukic akifunga bao na bao la pili dakika za majeruhi dakika ya 90 kupitia kwa mchezaji Claudio Pizarro na hatimaye Bayern kutinga Nusu Fainali.

Juventus wakikosa bao kwenye frii kiki hapa 
Heads up: Mandzukic ducks to nod home a decisive goal against Juventus
Mandzukic akiwafunga  Juventus dakika ya 64
Heads up: Mandzukic ducks to nod home a decisive goal against JuventusUnited: Bayern Munich unquestionably deserve their place in the semi-finals
Droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali za UCL, pamoja na zile za EUROPA LIGI, itafanyika Mjini Nyon, Uswisi hapo Ijumaa Aprili 12.

VIKOSI:
Juventus: Buffon, Chiellini, Barzagli, Bonucci, Pogba, Marchisio, Padoin (Isla, 69), Pirlo, Asamoah, Vucinic, Quagliarella (Matri, 66)
Subs not used: Storari, Caceres, De Ceglie, Federico Peluso, Giaccherini
Booked: Bonucci
Bayern Munich: Neuer, Dante, Van Buyten (Boateng, 35), Lahm, Ribery, Martinez, Mueller, Alaba, Schweinsteiger, Mandzukic, Robben
Subs not used: Tom Starke, Rafinha, Shaqiri, Dias, Pizarro, Gomez 
Goals: Mandzukic, 64
Booked: Mandzukic
Ref: Carlos Velasco Carballo
Att: 38,000


TIMU ZILIZOFUZU KUINGIA NUSU FAINALI.
-Barcelona
-Bayern Munich
-Borussia Dortmund
-Real Madrid

No comments:

Post a Comment