Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, April 11, 2013

BAO LA UGENINI LAIBEBA BARCELONA NUSU FAINALI BAADA YA SARE YA 1-1 NA PSG


Barcelona wakiwa kwao Nou Camp, huku mkali wao Lionel Messi akianzia benchi kurudiana na Paris Saint-Germain katika Mechi ya pili ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE,Paris Saint-Germain wamecheza kwa kujituma sana na kufanya mashambulizi kadhaa kwenye lango la wenzao Barca na kukosa kufunga mabao, Nao Barca wakicheza kwa umakini pia kulinda lango lao na mchezaji David Villa akikosa bao kwa kupaisha mpira juu ya lango la PSG. Mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zinaisha hakuna timu iliyoziona nyavu za mwenzake.Lionel Messi akionekana akiwa benchi hapaMchezaji wa PSG akimkaba sawasawa Fabregas
Lionel Messi was only fit enough for the bench against PSG
Kipindi cha pili dakika ya 50 mchezaji Pastore akawapatia PSG bao baada ya Ibrahimovic kumpatia pasi safi na kukimbia nao na hatimaye kuwapita mabeki na kumchambua kipa na kutupia nyavuni. Dakika ya 62 Barcelona wakafanya mabadiliko wakamtoa Fabregas na Lionel Messi akaingia kuongeza nguvu. Haikukawia dakika ya 71 mchezaji wa Barcelona Pedro akawasawazishia bao hilo na kufanya 1-1.
Leap off faith: Barcelona have struggled in the final third without their talisman MessiWachezaji wa Barclona wakizuia baada ya Ibrahimovic kuwasimamia kidete
Leap off faith: Barcelona have struggled in the final third without their talisman MessiPastore akiendesha kwenda kufunga bao dakika ya 50 kipindi cha pili 
Argy bargy: Pastore dinks the ball past Valdes to hand PSG a vital lead
Pastore akiwaacha hoi mabeki wa barcelona pamoja na kipa Valdes kufunga bao
Argy bargy: Pastore dinks the ball past Valdes to hand PSG a vital lead
Pastore baada ya kufunga bao
Pastore akikumbatiwa na wachezaji wenzi baada ya kuwatangulia bao Barca
Super sub: Lionel Messi started the second leg on the bench but came on for Cesc Fabregas after 62 minutes
Lionel Messi akichukua nafasi ya Cesc Fabregas dakika ya 62
Super sub: Lionel Messi started the second leg on the bench but came on for Cesc Fabregas after 62 minutes Mabadiliko yaliyozaa matunda...
Game changer: Pedro draw the hosts level after waiting patiently on the edge of the area before firing home
Pedro akishangilia baada ya kusawazisha bao dakika ya 71.
Droo ya kupanga Mechi za Nusu Fainali za Uefa Champions League, pamoja na zile za EUROPA LEAGUE, itafanyika Mjini Nyon, Uswisi hapo Ijumaa Aprili 12. Kuanzia saa 7.00 mchana.

VIKOSI:
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Adriano (Bartra 62), Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Pedro, Fabregas (Messi 62), Villa (Song 83).
Subs Not Used: Pinto, Sanchez, Thiago, Montoya.
Booked: Adriano. Goals: Pedro 71. 
PSG: Sirigu, Jallet (Van Der Wiel 88), Alex, Thiago Silva, Maxwell, Lucas Moura, Verratti (Beckham 83), Thiago Motta, Pastore, Ibrahimovic, Lavezzi (Gameiro 81). 
Subs Not Used: Douchez, Sakho, Chantome, Armand. Booked: Lavezzi, Thiago Silva, Beckham.
Goals: Pastore 50.
Agg (3-3) Barcelona win on away goals rule 
Attendance: 78,000 
Referee: Bjorn Kuipers (Holland).

No comments:

Post a Comment