KASEBA AMTWANGA MANENO KWA POINTI
Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Japhert
Kaseba wakati wa mpamba
|
no wao wa ubingwa wa taifa uliofanyika jumamosi katika
ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Kaseba alishinda kwa point mpambano huo
| Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa Kaseba alishinda kwa point. |
| Bondia Japhert Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa taifa Kaseba alishinda kwa pointi |
| Bondia Japhert Kaseba akinyooshwa mkono juu na refarii Antoni Ruta baada ya kuibuka mshindi kwa kumgalagaza Maneno Osward. |
| Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya siti. |
| Bondia Putile Gama kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Tom Kato kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
| Bondia Aliphonce Mchumiatumbo kushoto akioneshgana uwezo wa kutupiana masumbwi na Josephe Marwa mpambano wa uzito wa juu uliofanika jumamosi Mchumiatumbo alishinda kwa K,O raundi ya siti. |
| Bondia Tom Kato kulia kutoka Japani anaeishi mjini Bagamoyo akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Putile Gama Kato alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
Post a Comment