Huko jijini Turin, Juventus
ambao wamewahi kuwa mabingwa wa michuano hiyo mwaka 1985 na 1996 wametinga
katika hatua hiyo ya robo fainali baada ya kuigaragaza Celtic ya Scotland kwa mabao 2-0 na kusonga
mbele kwa jumla ya mabao 5-0 katika michezo miwili waliyocheza. Mabao
yaliyofungwa na Alessandro Matri katika kipindi cha kwanza na Fabio Quaglirella
alilofunga katika kipindi cha pili yalitosha kuihakikishia nafasi Juventus ambao
wanaongoza Ligi Kuu nchini Italia.
Mwisho wa Celtic ulikuwa jana usiku baada ya kupata kichapo cha goli 2-0 na
Agg 5-0 kwenye UEFA
Mashabiki wa Celtic wakishangilia timu yao pamoja na kushindwa kujitetea
kuwafunga Juve
Mashabiki
wa Celtic
Celtic wakifungwa jumla ya goli 5-0 na Juventus na kushindwa kusonga
mbele
VIKOSI:
Juventus:
Buffon, Barzagli, Marrone, Bonucci, Padoin, Vidal (Isla 67), Pirlo (Giaccherini
69), Pogba,Peluso (Asamoah 59), Quagliarella, Matri. Subs not used: Storari, Chiellini, Vucinic,
Giovinco.
Booked: Peluso.
Goals: Matri 24, Quagliarella
65.
Celtic: Forster, Matthews (Forrest 52), Wilson,
Kayal, Izaguirre, Commons (Nouioui 73), Wanyama (Ambrose 46),Ledley,
Mulgrew,
Samaras, Hooper. Subs not
used: Zaluska, Miku, Stokes, McGeouch.
Booked:
Izaguirre.
Attendance:
35,000.
Referee: Firat Aydinus (Turkey
No comments:
Post a Comment