WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO WAANDAMIZI WAKIWA KWENYE SEMINA MJINI MOROGORO
| Mwezeshaji Bi Sauda Simba Kilumanga akitoa mada katika siku ya kwanza ya semina iliyoandaliwa kwa waandishi wa habari za michezo katika ukumbi wa Amabilis Mkoani Morogoro. |
| Mwezeshaji Bi Leanne Martin-Pollock akitoa mada katika semina hiyo. |
| Mhariri wa michezo wa gazeti la serikali la Daily news Nasongelya Kilyinga akiunganisha vipande vya mistari vilivyokatwa ili kupata habari kamili ikiwa ni sehemu zoezi kutoka kwa wakufunzi. |
| Mhariri wa habari za michezo wa gazeti la Mtanzania Mwani Nyangasa akichangia mawazo na maafisa habari Adrophina Ndyeikiza na Sakina mfinanga. |
| Maafisa habari wa walikuwa ni sehemu ya waliohudhuria semina hiyo. |
| Kutoka kushoto ni Mhariri wa habari za michezo wa gazeti la Nipashe Amour , Malio Cheto na Philipo Cyprian wa TBC. |
| Mwandishi wa habari za michezo mkongwe Asha Kidungule wa Jambo Leo akizungumzia majukumu yake ya kila siku anapokuwa ofisini na majukumu ya wahariri wa habari. |
Post a Comment