Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, January 23, 2013

WASHIRIKI WA MISS UTALII WATEMBELEA KAMPUNI YA MWANANCHI LEOWASHIRIKI WA MISS UTALII TAIFA 2012 /13 WAKIWA WANAANZA SAFARI KUTOKA KAMBINI KUELEKEA MWANANCHI CORP WACHAPISHAJI WA MAGAZETI YA MWANANCHI

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA WAMEWASILI KATIKA OFISI ZA MWANANCHI.
MWENYEJI WA KUWATEMBEZA IDARA ZOTE WAREMBO WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 , AKITOA MAELEKEZO YA MUHIMU KABLA YA KUANZA KUTEMBEZWA
WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA WANASIKILIZA MAELEKEZO KWA MAKINI KABLA YA KUINGIA CHUMBA MAALUM CHA HABARI MWANANCHI.
WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013 WAKIWA WAMEWASILI CHUMBA CHA HABARI
MHARIRI MKUU WA GAZETI LA MWANANCHI AKIWA ANAWAPA MAELEKEZO WAREMBO WA MISS UTALII TANZANIA JINSI KAZI ZAO ZINAVYO FANYIKA
WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 WAKIWA WANASIKILIZA KWA UMAKINI MHARIRI
WALIMU WA WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA WAKIWA WANASIKILIZA KWA MAKINI

No comments:

Post a Comment