Golden Balls! Lionel Messi akiwa pamoja na tuzo zake nne za Ballon D'Or |
NYOTA wa Barcelona, Lionel Messi amesema licha ya Real Madrid kujitoa katika mbio za ubingwa, kamwe hawezi kuiweka pembeni.
Messi amesisitiza: "Hakuna kinachoshindikana La Liga. Miaka michache iliyopita, Madrid ilituengua kileleni jumla. Tunajua hatuwezi kuiondoa katika mbio hizi. Tunahitaji kuendelea kama tunavyofanya na si kufanya makosa kwa kujisahau."
No comments:
Post a Comment