BONDIA THOMAS MASHALI AMTWANGA BENARD MCOCIECH WA KENYA KWA KO FRIENDS CORNER MANZESE LEO
| Mwamuzi akimwesabia Benard Mcociech baada ya kuanguka mara ya tatu na kukubali yaishe na Thomas Mashali kutangazwa bingwa |
| Thomas Mashali akikwepa ngumi |
| Benard Mcociech akiwa chini baada ya kupokea makonde mazito toka kwa Thomas Mashali |
| Mwanamuziki Profesa J akiwaonesha wadau wa ngumi kitu kwenye simu yake kabla mpambano kuanza |
| Kamanda Charles Kenyella akiwa amewashika mikono mabondia wote baada ya kumvalisha mkanda bingwa. |
| Thomas Mashali akimrushia ngumi ya uso bondia Benard Mcociech |
Post a Comment