Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akiteta na wachezaji
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akizungumza na Viongozi mbali mbali uwanjani hapo
Wachezaji wakiendelea kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe
Wachezaji wakisalimiana kabla ya mtanange kuanza
Waamuzi na kapteni wa timu zote mbili Kagera Sugar na Olympiq Star
Bechi la Olympiq Star
Benchi la Kagera Sugar
wapenzi wa soka jukwaani wakifatilia mechi
Wadau
Mtanange ukiendelea
Mtanange ukiendelea kipindi cha pili
Olympiq Star wakifanya mabadiliko
Mashabiki wakifatilia mtanange wa kagera Sugar na Olympiq Star
Mechi ikiendelea
Kagera Sugar nao wakifanya mabadiliko.
Wadau mbali mbali wakifatilia mtanange huu.
Wadau wa Burundi wakishangilia timu yao ya Olympiq Star mara baada ya kusawazisha na kufanya 1-1 dakika za mwishoni. Goli la Kagera Sugar limefungwa kwa mkwaju wa penati kipindi cha pili dakika ya 73 baada ya mchezaji kuunawa mpira.
Wapenzi na wadau wa Timu ya Olympiq Star ya Burundi jukwaani.
CREDIT: WWW.BUKOBASPORTS.COM
No comments:
Post a Comment