Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, November 15, 2017

MASTAA WAMLILIA LULU MITANDAONI

BAADA ya Mahakama kuu kumhukumu msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ kifungo cha miaka miwili jela, watu maarufu wakiwemo wasanii wenzake wameonesha hisia zao kwa kuweka picha ya msanii huyo kwenye kurasa zao za Instagram.
Picha hizo ziliambatana na jumbe mbalimbali za kumtia moyo Lulu ambaye amehukumiwa kwa kosa la kumuua bila kukusudia msanii mwenzake Steven Kanumba.
Hizi hapa ni baadhi ya picha zinaoonyesha maneno ya ‘mastaa’ hao.


No comments:

Post a Comment