Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, July 26, 2017

MAKUNDI DARAJA LA KWANZA HADHARANI, KUANZA KUTIMUA VUMBI SEPTEMBA


Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetoa makundi ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) itakayoanza kutimua vumbi Septemba mwaka huu.
Ligi hiyo yenye timu 24, timu zimegawanywa katika makundi matatu, ambapo kinara wa kundi atapanda moja kwa moja Ligi Kuu ya Vodacom msimu ujao.
Makundi hayo ninkama ifuatavyo:
KUNDI A
1-Afrika Lyon (Dar)
2-Ashati United (Dar)
3-Friends Rangers (Dar)
4-Jkt Ruvu (Pwani)
5-Kiluvya United (Pwani)
6-Mgambo JKT (Tanga)
7-Mvuvunwa
8-Polisi Moro (Moro)

KUNDI B
1-Coastal Union (Tanga)
2-Jkt Mlale (Ruvuma)
3-KMC (Dar)
4-Mawezi Market (Moro)
5-Mbeya Kwanza (Mbeya)
6-Mshikamano (Dar)
7-Mfundi United (Iringa)
8-Polisi Dar (Dar)

KUNDI C
1-Alliance School (Mwanza)
2-Rinho Rangers (Tabora)
3-Pamba (Mwanza)
4-Polisi Mara (Mara)
5-Polisi Dodoma (Dodoma)
6-Transit Camp (Shinyanga)
7-Toto African (Mwanza)
8-JKT Oljoro (Arusha)