Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 28, 2017

UWANJA WA SOKA CHINA WATEKETEA KWA MOTO

The fire broke out in one corner of the 33,000-capacity stadium, causing considerable damage inside and outside
Uwanja wa Hongkou wa klabu ya Ligi Kuu China, Shanghai Shenhua iliyomsajili Carlos Tevez kwa mshahara wa Pauni 615,000 kwa wiki Desemba mwaka jana umeteketea kwa moto leo asubuhi

A dramatic fire broke out at Shanghai Shenhua's Hongkou Stadium on Tuesday morning, with flames and black smoke billowing from a section of the arena