Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, March 16, 2017

MJUE AHMAD AHMAD, RAIS MPYA WA CAF ALIYEMWANGUSHA HAYATOU CAF



Huyu ndiye Ahmad Ahmad, shujaa mpya wa Afrika katika mchezo wa soka.

Kumuangusha Issa Hayatou katika uchaguzi mkuu wa kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) si jambo dogo.

Lakini Ahmad amefanya hivyo leo akimshinda Hayatou baada ya kujikusanyia kura 34 dhidi ya 20 alizopata babu huyo mwenye umri wa miaka 71.

No comments:

Post a Comment